iqna

IQNA

sura al hajj
Sura za Qur'ani Tukufu /22
TEHRAN (IQNA) – Katika aya mbalimbali za Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu amewapa changamoto wale wanaokataa ujumbe wa Wake, wale ambao walikuwa makafiri au washirikina. Mwenyezi Mungu anawapa changamoto ya kuunda chembe au kuleta aya inayofanana na ile ya Qur'ani Tukufu lakini hakuna aliyeweza kufanya hivyo.
Habari ID: 3475960    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20